MRADI WA USAMBAZAJI TAARIFA MTANDAONI
Unaendelea — Kuweka mfumo utakaowezesha wanajamii kupata taarifa za Lindi Mwambao kwa haraka na kwa urahisi kupitia tovuti hii.
Unaendelea — Kuweka mfumo utakaowezesha wanajamii kupata taarifa za Lindi Mwambao kwa haraka na kwa urahisi kupitia tovuti hii.
Umepangwa — Mradi wa kuboresha dashibodi itakayowawezesha wasimamizi kusimamia taarifa, machapisho na maudhui ya tovuti.
Umepangwa — Kuunganisha tovuti na huduma za barua pepe na Instagram ili kurahisisha mawasiliano na usambazaji wa taarifa kwa jamii.
Umepangwa — Kuanzisha maktaba itakayowezesha wanajamii kutafuta na kupakua nyaraka za awali za Lindi Mwambao kwa urahisi zaidi.
Miradi hii yote inalenga kuboresha upatikanaji wa taarifa kwa wanajamii, kupunguza muda wa kusubiri taarifa, na kurahisisha mawasiliano kati ya Lindi Mwambao na wadau wake.